Prof Ruge Publications

Sauti na Maandishi

Lugha ya Kimashami inazo irabu tano /a, e, i, o, u/. Katika baadhi ya maneno urefu wa irabu hutofautisha maana, lakini katika maneno mengine, urefu hauna maana yo yote. Kwa sababu hiyo baadhi ya maneno yenye maana ile ile yameingizwa mara mbili, yakitofautishwa na urefu wa irabu tu.
Mfano:
tesa / teesa kutesa; soko / sooko maharage; shonga / shoonga chakula

Download Mashami–English–Swahili Dictionary