Prof Ruge Publications

UTANGULIZI WA JUMLA
Utangulizi huu una sehemu sita. Sehemu ya kwanza inahusu sera ya lugha na utafiti kuhusu lugha za asili na mustakabali wake. Sehemu ya pili inahusu maandiko katika au kuhusu lugha za asili. Sehemu ya tatu inahusu uainishaji wa lugha za Tanzania kinasaba. Sehemu ya nne inazungumzia istilahi zinazotumika katika atlasi hii.Sehemu ya tano inahusu maudhui ya atlasi na mbinu za utafiti na utengenezaji wa ramani. Sehemu ya sita inatoa orodha ya machapisho ya Mradi wa Lugha za Tanzania

Download Atlasi ya Lugha za Tanzania